ANNOUNCEMENTS: 33RD SUNDAY ORDINARY TIME

ANNOUNCEMENTS: 33RD SUNDAY ORDINARY TIME

ANNOUNCEMENTS: 33RD SUNDAY ORDINARY TIME

  1. Today CWA will be having a seminar after second Mass at the Sunday school building. All ladies are invited.
  2. Next Saturday being the last Saturday of the month, there will be a Recollection organized by Opus Dei, recollection for ladies will start at 9AM and men at 2PM. The Ladies’ Recollection will begin with

Confessions from 8AM.

  1. Next Sunday will be the last Sunday of the liturgical year, when we celebrate the Solemnity of Christ the King. The Church recommends that all Catholics to hold a Procession on this day. The weather conditions and other logistic challenges may not allow us to hold this Procession. However, we shall have one hour Adoration (Holy hour) immediately after the second Mass, Let’s come prepared for this important spiritual exercise in honour of Christ the King in our lives.
  2. 26/11/2023 After Mass, all our Priests will be away for one week to attend their Annual Retreat at Nakuru.Therefore there will be no Jumuiya and weekday Masses that week.
  3. 02/12/2023 will be diocesan Family Day at Ngong Diocese. The parish Chairman will organize our parade representation through our Jumuiyas and Church Groups.
  4. On 09/12/2023 our Parish will host the SMA Foundation Day. It will bring together Christians from parishes served by SMA Fathers in Kenya. All Parishioners are invited, thank you as you to plan to attend these important celebrations. Details of the Day’s programme will be shared in the coming Sundays.

 

MATANGAZO: JUMAPILI YA THELATHINI NA TATU KIPINDI CHA KAWAIDA

  1. Leo CWA watakuwa na semina baada ya Misa hii kule kwenye jengo la Sunday school. Kina mama wote wa parokia yetu wanaalikwa.
  2. Jumamosi ijayo ni Jumamosi ya mwisho ya mwezi, kutakuwa na recollection ya Opus Dei. Maombi ya wanawake itaanza saa tatu asubuhi na ya wanaume ni saa nane mchana.Sakramenti ya kitubio ni saa mbili kamili asubuhi. Sote tunaalikwa.
  3. Jumapili ijayo ni Jumapili ya mwisho ya mwaka wa liturujia tunapoadhimisha sherehe ya Kristo Mfalme, kanisa linapendekeza wanakatolili wote wafanye maandamano siku hio, Ila kwa sababu ya hali ya anga na changamoto nyinginezo, hatutakuwa na maandamano (procession). Badala yake tutakuwa na ibaada ya kuabudu sakramenti takatifu (Adoration) baada ya Misa ya pili.Tunaombwa tujiweke tayari kwa zoezi hili muhimu la kiroho kwa heshima ya Kristo Mfalme katika maisha yetu.
  4. Kuanzia Jumapili ijayo tarehe 26/11/2023 baada ya Misa, Mapadre wetu watasafiri kwenda Nakuru kwa retreat yao ya SMA Fathers.Hivyo basi hatutakuwa na Misa kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi.
  5. Tarehe 02/12/2023 ni Family day ya Ngong Diocese kule Ngong. Mwenyekiti wa parokia atatoa muongozo jinsi tutakavyowakilisha parokia yetu kupitia kwa Jumuiya na vikundi vya kanisa.
  6. Tarehe 09/12/2023 ni SMA Foundation day ambayo itafanyika hapa parokiani.Siki hii, wakristo kutoka parokia zinazohudumiwa na SMA Fathers pamoja na seminarians,watajumuika hapa parokiani kwa Misa takatifu na sherehe maalum nchini .Maelezo Zaidi na programu ya siku hiyo yatatolewa baadaye.

 

            Jumuiya service

           Today                                                         Next Sunday

1st Mass: St. Mary                            1st Mass: St. Mary

2nd Mass: St. Donbosco                    2nd Mass: Our Lady of Fatima

                                                                             And Sacred Heart Group

 

 

 

 

 

ANNOUNCEMENTS: 32ND SUNDAY ORDINARY TIME

ANNOUNCEMENTS: 32ND SUNDAY ORDINARY TIME

ANNOUNCEMENTS: 32ND SUNDAY ORDINARY TIME

  1. We thank the good Lord for our work and business. On this second Sunday of the month, we invite those who have their Tithe, and those who paid directly to the Bank and Paybill come forward for prayers and blessings. The Church Paybill Number is 4042525 Account
  2. CMA will be having their training next Sunday 19thOctober after first Mass.All CMA members are invited.
  3. CWA will be having a seminar next Sunday after second Mass.All ladies are invited.
  4. The Family and Vocations Group will have a meeting today at the balcony immediately after the second Mass. All members are requested to attend
  5. Monday 13/11/2023 is a public holiday morning Mass will start at 9.00am.
  6. We invite PFC chair to give vote of thanks to the parishioners for their generous contributions during Harambe.

          Jumuiya service

           Today                                                         Next Sunday

1st Mass: St. Josemaria Escriva                 1st Mass: St. Mary

2nd Mass: St. Peter and Paul                      2nd Mass: St. Donbosco

MATANGAZO: JUMAPILI YA THELATHINI NA MBILI KIPINDI CHA KAWAIDA

  1. Leo ni Jumapili ya fungu la kumi,kwa wakristo ambao wamejitayarisha na pia wale ambao wametuma fungu lao kwa paybill ya kanisa tunawaalika wajongee mbele kwa maombi na Baraka.Tunapokuja mbele tunaombwa kuweka nia zetu pamoja na fungu la kumi tunalomtolea Mungu.Paybill ya kanisa ni 4042525 account
  2. CMA watakuwa na mafundisho yao Jumapili ijayo tarehe 19/11/2023 baada ya Misa ya kwanza.Wanachama wote wa CMA wanakaribishwa.
  3. CWA watakuwa na semina Jumapili ijayo baada ya Misa ya pili.Wamama wote wanaalikwa.
  4. Family and vocations group watakuwa na mkutano leo baada ya Misa hii pale kwa Balcony.Wanachama wote wanaalikwa.
  5. Kesho Jumatatu ni sikukuu, hivyo basi Misa ya asubuhi itaanza saa tatu asubuhi.Wakristu wote wanakaribishwa.
  6. Tunamwalika mwenyekiti wa kamati ya fedha ili awashukuru wakristo wote kwa ukarimu wao siku ya harambee.

          Jumuiya service

           Today                                                         Next Sunday

1st Mass: St. Josemaria Escriva                 1st Mass: St. Mary

2nd Mass: St. Peter and Paul                      2nd Mass: St. Donbosco

 

 

 

 

 

ANNOUNCEMENTS: 30TH SUNDAY ORDINARY TIME

ANNOUNCEMENTS: 30TH SUNDAY ORDINARY TIME

ANNOUNCEMENTS: 30TH SUNDAY ORDINARY TIME

  1. This coming Saturday (4/10/2023), being the first Saturday of the month there will be a parish recollection from 9am. All parishioners are welcome.
  2. 1ST of November we will celebrate solemnity of all saints, Holy Mass will start at 6:30am in the morning and all parishioners are encouraged to attend. On 2nd November is all Souls day and we will have special prayers for the departed souls of our loved ones. Holy Mass will start at 6pm in the evening. All parishioners are encouraged to attend the Mass.
  3. As announced last Sunday the venue for boys initiation has changed from Vanessa Primary to Stepping stone academy-EPZ the other factors remain unchanged. Parents who have not yet registered their boys can register in the parish office.
  4. We invite the Parish PFC chair to give direction and program of the upcoming Harambee.

 

Jumuiya service

Today                                                                     Next Sunday

1st Mass: St. Rita                                                   1st Mass: St. Agnes

2nd Mass: St. Gabriel                                             2nd Mass: St. Timothy

 

MATANGAZO: JUMAPILI YA THELATHINI KIPINDI CHA KAWAIDA

  1. Jumamosi ijayo (4/10/2023), ikiwa ni Jumamosi ya kwanza ya mwezi kutakuwa na maombi(recollection) ya parokia kuanzia saa tatu Wakristo wote wanakaribishwa.
  2. Tarehe Moja Novemba tutaadhimisha sikukuu ya watakatifu wote (Solemnity of All saints).Misa takatifu itaanza saa Kumi na mbili na nusu asubuhi(6:30am).Wanaparokia wote wanaombwa kuhuduria Misa hii muhimu. Tarehe Mbili Novemba ni Siku ya kumbukumbu ya roho za marehemu wote. (All souls Day).Tutakuwa na maombi maalum kwa ajili ya ndugu zetu waliotutangulia.Misa takatifu itaanza saa kumi na mbili jioni (6:00pm).Sote tunakarimbishwa.
  3. Vijana wetu ambao wanaojiandaa kwenda kutahiri wataishi kwenye mabweni ya Stepping Stones school-EPZ na sio Vennessa primary school kama ilivyotangazwa Jumapili iliyopita. Kwa maelezo Zaidi na pia kwa wazazi ambao bado hawajasajili watoto wao wanombwa kuwasiliana na ofisi ya parokia.
  4. Tunamkaribisha mwenyekiti wa Kamati ya fedha ili kutoa muongozo na pragramu ya Harambee ijayo.

Jumuiya service

Leo                                                                           Jumapili Ijayo

1st Mass: St. Rita                                                   1st Mass: St. Agnes

2nd Mass: St. Gabriel                                             2nd Mass: St. Timothy

 

 

ANNOUNCEMENTS: 30TH SUNDAY ORDINARY TIME

ANNOUNCEMENTS, 28TH SUNDAY IN ORDINARY.  15/10/2023

ANNOUNCEMENTS, 28TH SUNDAY IN ORDINARY.  15/10/2023

  1. This coming Friday (20/10/2023) being a Public Holiday, the Mass will be at 9am. Hence, there will be no evening Mass as usual.
  2. Next Sunday, a medical team from AAR Hospital will visit our Church for a Free Medical Camp. They will offer the following services: Free basic check-ups (Weight, BP, BMI), free Random Blood Sugar tests (RBS), free Dental Consultation and more.
  3. The Liturgy group will have a meeting next Sunday after the second Mass. All liturgy representatives from Church groups and Jumuiyas are requested to attend.
  4. Sunday 29/10/2023, we shall have special prayers for all candidates, we encourage parents with candidates either in Grade 6, Class 8 or Form 4 to register their children for prayers. There is a desk set aside for registration outside the Church, please pass by it.

 

Jumuiya service

Today:                                                            Next Sunday

1st Mass: St. Margaret                             1st Mass: St. Francis of Asissi

2nd Mass: CWA                                         2ndMass: St. Jude

 

MATANGAZO, JUMAPILI YA ISHIRINI NA NANE.  15/10/2023

  1. Ijumaa ijayo (20/10/2023) itakuwa Public Holiday, Misa itakuwa saa tatu asubuhi. Kwa hivyo, hakutakuwa na Misa ya jioni kama ilivyo kawaida. Wote twaalikwa.
  2. Jumapili ijayo, wahuduma wa afya kutoka Hospitali ya AAR watatembelea Kanisa letu kwa ajili ya Free Medical Camp. Watatoa huduma zifuatazo: Free basic check-ups (Weight, BP, BMI), free Random Blood Sugar tests (RBS), free Dental Consultation na mengineyo.
  3. Liturgy Group watakuwa na mkutano wao Jumapili ijayo baada ya Misa ya pili. Wawakilishi wote wa liturgy Group kutoka vikundi vya Kanisa na Jumuiya zote wanaombwa kuhudhuria.
  4. Jumapili tarehe 29/10/2023, tutakuwa na sala maalum kwa ajili ya watahiniwa wote, wazazi walio na watahiniwa katika aidha darasa la 6, darasa la 8 au kidato cha 4, wanaulizwa wawaandikishe watoto wao hapo nje kwenye meza baada ya Misa hiii.

         Huduma za Misa

Leo:                                                             Jumapili Ijayo

1st Mass: St. Margaret                            1st Mass: St. Francis of Asissi

2nd Mass: CWA                                       2ndMass: St. Jude

ANNOUNCEMENTS: 30TH SUNDAY ORDINARY TIME

ANNOUNCEMENTS:26TH SUNDAY ORDINARY TIME.

ANNOUNCEMENTS: 26th SUNDAY ORDINARY TIME

  1. We thank God for our jobs and businesses, for the strength that God has given us to do them. On this First Sunday of the month, we invite those who have prepared their Tithe to come forward for prayers and blessing. As we come forward to offer your work and business to God, pronounce a prayer over your offering.
  2. We thank God for the new month. The Month of October is a special month dedicated to the Devotion of our Virgin Mary. We encourage our parishioners to pray the Rosary in their families and Jumuiya meetings during this month.
  3. This coming Saturday (7/10/2023), being the first Saturday of the month there will be a parish recollection from 9am.All parishioners are welcome
  4. Today the Family and Vocations Group will meet in the balcony immediately after the second Mass.All Jumuiya and church group representatives are invited. Thank you and may God bless you as you purpose to attend.
  5. Pascal has been transferred to The Formation House in Karen. We invite parishioners for a second collection as an appreciation for his Ministerial service to us.

 

Jumuiya service

Today:                                                           Next Sunday

1st Mass: St. James the Great              1st Mass: St. Bernard

2nd Mass: St. Jose Maria Escriva          2ndMass:St.Daniel Comboni

 

MATANGAZO: JUMAPILI YA ISHIRINI NA SITA KIPINDI CHA KAWAIDA

  1. Tunamshukuru Mungu kwa kazi na biashara zetu ,na kwa nguvu na neema anayotujalia kuzifanya kazi zetu.Kwa mioyo ya shukrani,tunawakaribisha wakristo wote wajongee mbele na fungu lao la kumi kwa maombi na Baraka.Tunapo kuja mbele kutoa fungu letu kwa Mungu,Tamka maombi juu ya sadaka yako.
  2. Tunamshukuru Mungu kwa mwezi huu wa Oktoba ambao ni mwezi maalum wa kumuenzi Mama Bikira Maria.Hivyo basi wanaparokia wote wanaombwa kusali rosali Takatifu kwenye familia zao na katika jumuiya.
  3. Jumamosi ijayo (7/10/2023) ikiwa ni Jumamosi ya kwanza ya mwezi, ni siku ya maombi(recollection) kuanzia saa tatu asubuhi (9.00am) hadi saa sita mchana (12:00 noon).Wakristo wote wanakaribishwa
  4. Leo,Family and vocations group watakuwa na mkutano pale juu kwa balcony baada ya misa hii.Wawakilishi wote wa jumuiya na vikundi vya kanisa wanaombwa kuhudhuria.Mungu awabariki sana mnapo kusudia kuhudhuria.
  5. Pascal amehamishwa kwenda The Formation House huko Karen. Tunawaalika wakristo wote kwa mchango wa pili kama shukrani kwa huduma yake kwetu.

 

 Jumuiya service

Today:                                                           Next Sunday

1st Mass: St. James the Great              1st Mass: St. Bernard

2nd Mass: St. Jose Maria Escriva          2ndMass:St.Daniel Comboni

 

 

 

ST.RAPHAEL DAY

ST.RAPHAEL DAY

On September 29th, the faithful members of the St. Raphael community gathered to celebrate the Feast Day of their beloved patron saint. This year, the celebration took place at the home of one of their dedicated members. The parish priests, along with other esteemed clergy, were invited to join in commemorating this special day.

The celebration was a resounding success, filled with prayer, reflection, and a sense of unity among the attendees. The members were divided into three groups based on their proximity: the residents near the police station, the Muigai Lower Group, and the Muigai Upper Group.

The highlight of the day was the presence of the invited guests from South C, St. Anthony of Padua Jumuiya, whose words of wisdom and spirituality added a special touch to this memorable occasion.