by Josephine Jeruto | Jun 20, 2023 | News
Announcements 18/06/2023
- Next Sunday 25th June 2023 is SMA founders’ day which all over the world we request you to pray for us our founder and missions. We sincerely thank you for your continued prayers and support through the years May God Bless you families and your work. SMA Friends will animate Second Mass that day.
- Next Sunday, 25th father Thomas will be celebrating ten years of priesthood, we are requested to continue praying so that God strengthen him in the ministry.
- The youth will have a recollection on Sunday 25th June after the second Mass, the theme will be, “Overcoming Fear”. All the youth are encouraged to join this wonderful session.
- There will be a deanery youth Mass on Saturday 1st July at Namanga and our youth are planning to participate. Parents are kindly asked to allow their youth to participate.
- The youth have a project for selling cupcakes, kindly let’s support them
- All friends of SMA are encouraged to pass by the church entrance and have their shirts measurements taken by the tailor who is outside the church.
- Currently we are doing registration for infant baptism. Those parents who would like their infants to be baptized are invited to register through their Jumuiya’s.Virtual classes will start on Wednesday 21/06/2023 from 8pm in the evening.
- Fathers and friends of SMA sincerely thank all parishioners for their continued support. A priest from Lodwar has visited our parish today to appeal for mission support. We therefore invite parishioners for second collection and also return envelopes which were shared last Sunday.
Jumuiya service
Today: Next Sunday
1st Mass: St. Gabriel 1st Mass: St. Josemaria Escriva
2nd Mass: CWA 2nd Mass: SMA Friends
MATANGAZO 18/06/2023
- Jumapili ijayo tarehe 25/6/2023 tutasherekea siku ya mwanzilishi wa SMA kote ulimwenguni.Tunawashukuru kwa dhati wakristu wote kwa maombi na usaidizi wenu wa kifedha katika huduma ya Mungu.Tunawaombea kwa Mungu aendelee kuwabariki nyote kijumla,familia zenu na pia kazi zenu.Siku hii marafiki wa SMA watahudumu katika Misa ya pili.
- Jumapili ijayo Padre Thomas Otieno atasherekea miaka kumi tangu upadrisho wake,tunaombwa tuendelee kumuombea kwa Mungu ili amtie nguvu katika huduma yake.
- Vijana wetu watakuwa na siku ya maombi Jumapili ijayo baada ya Misa ya pili.Mada ya siku ni “overcoming fear”Hivyo basi vijana wote wamealikwa.
- Kutakuwa na Misa ya vijana ya Dekania tarehe 1/7/2023 uko Namanga na vijana wetu wamepanga kuhudhuria.Hivyo basi wazazi na walezi wanaombwa kuwaruhusu vijana kushiriki katika Misa hii.
- Vijana wetu wameanza mradi wa kuuza keki pale nje karibu na bookshop tafadali tunaombwa tuwaunge mkono kwa kununua keki hizi.
- Marafiki wa SMA wanaombwa kupitia pale nje kwenye hema baada ya Misa hii ili kupeana vipimo vyao kwa fundi wa nguo.
- Usajili wa ubatizo wa watoto wachanga bado unaendelea na kwa wale ambao bado hawasajili watoto wao wanaombwa kufanya hivo kupitia kwa jumuiya zao.Mafundisho yataanza Jumatano tarehe 21/6/2023 saa mbili jioni kupitia kwa mtandao.
- Mapadre na marafiki wa SMA wanawashukuru kwa dhati wanaparokia wote kwa usaidizi wao katika kazi ya kimishonari.Padre kutoka Lodwar amatutembelea leo kwa ajili ya kuomba usaidizi wetu kwa kazi ya mishonari.Hivyo basi tunaombwa tujongee mbele kwa mchango wa pili na pia kurejesha bahasha tulizopewa Jumapili iliyopita.
Jumuiya service
Today: Next Sunday
1st Mass: St. Gabriel 1st Mass: St. Josemaria Escriva
2nd Mass: CWA 2nd Mass: SMA Friends
by Josephine Jeruto | Jun 14, 2023 | News
MATANGAZO: JUMAPILI KUU YA MWILI NA DAMU YA YESU KRISTO – 11/06/ 2023
- Leo ni Jumapili ya fungu la kumi,kwa wakristo ambao wamejitayarisha na pia wale ambao wametuma fungu lao la kumi kwa paybill ya kanisa tunawaalika wajongee mbele kwa maombi na baraka.Tunapokuja mbele tunaombwa kuweka nia zetu pamoja na fungu la kumi tunalomtolea Mungu.Paybill ya kanisa ni 4042525 account Tithe.
- Leo, Kanisa linasherehekea Siku Kuu ya Mwili na Damu ya Kristo (Corpus Christi). Punde tu baada ya Misa hii, kutakuwa na ibada ya kumwabudu Bwana wetu Yesu Kristu, aliye hai katika Sakramenti Takatifu ya Ekaristi.
- Wakristo ambao waliacha kupokea na hawako kwa ndoa na wangependa kurudi kupokea Sakramenti Takatifu, wanaombwa kuona Padre kwa ofisi siku na masaa ya kazi au, wapige simu kujadiliana na Padre siku ingine yeyote wanaweza kupatikana.
- Josil Ushindi group watakuwa na siku ya maombi Jumamosi ijayo tarehe 17/06/2023 kuanzia saa tatu asubuhi.
- Kikundi cha kina Baba (CMA) wanaalikwa kwa mafundisho yao Jumapili ijaya ya tarehe 18th June 2023 baada ya Misa ya kwanza
- Padre kutoka Lodwar atatembelea Parokia yetu Jumapili ijayo tarehe 18th Juni 2023. Kupongeza Wakristo kwa ukarimu ambao tumeonyesha familia ya Lodwar na pia kuomba msaada ili aweze kuendelea kuhudumia wakristo wa Lodwar. Wakristo wanakaribishwa kuchukua bahasha ambazo tutamkabidhi mgeni wetu Jumapili ijayo.
- Tumeanza usajili wa Watoto wachanga kwa ajili ya ubatizo. Wazazi wanaopenda Watoto wao wachanga wabatizwe wanaombwa kujiandikisha katika Jumuiya zao.
Jumuiya service
Jumapili Hii Jumapili Ijayo
1st Mass: St. Rita 1st Mass: St. Gabriel
2nd Mass: St. Timothy 2nd Mass: CWA
by Josephine Jeruto | Jun 8, 2023 | News
- We thank the good Lord for our work and business. On this First Sunday of the month, we invite those who have their Tithe, and those who paid directly to the Bank and Pay bill, we also invite parishioners who have redeemed their pledges this month to come forward for prayers and blessings. The Church Pay bill Number is 4042525 Account tithe
- We would like to thank our Jumuiya members and Parishioners who have already returned their tetra packs with their Lenten Campaign contributions. We urge all the Jumuiya Chairpersons to ensure that the remaining tetra packs are submitted through their respective Jumuiya treasurers to the CJPD desk after Mass. Those who did not get tetra packs can still make their contributions through our Church Pay bill 4042525, Account No: “LENTEN”
- The YOUNG CHRISTIAN WORKERS (YCW) is a transitional group between the Youth and Catholic Women Association and the Catholic Men Association. The devotional group cordially invites all parishioners of age 25-40 to join the group. Renewal and registration of new members will be taking place after mass. For more information regarding the group, there are representatives of the group outside the church to assist you with all enquiries.
- Doctors from Equity Afia Kitengela Branch have visited our parish today to offer free medical camp, we are encouraged to pass by their tent for body check-ups and medical advice.
- The PMC registration is ongoing, all the parishioners are requested to register all children ages 3yrs to 13yrs. Registration fee is 100/= per child. Registration is ongoing outside the PMC classes Note: Parishioners with children below 3yrs are requested NOT to leave the children in PMC class unattended.
- Infant baptism registration is ongoing and parents are requested to register through their Jumuiyas.
- Senior youth from Cathedral Ngong have visited our youths today
Jumuiya service
1st Mass: St. Raphael 1st Mass: St. Rita
2nd Mass: Senior youth 2nd Mass: Timothy
by Josephine Jeruto | Jun 8, 2023 | News
MATANGAZO: 04/06/2023
- Leo ni Jumapili ya fungu la kumi,kwa wakristo ambao wamejitayarisha na pia wale ambao wametuma fungu lao kwa paybill ya kanisa na pia wakristu ambao wamelipa ahadi zao mwezi huu tunawaalika wajongee mbele kwa maombi na Baraka.Tunapokuja mbele tunaombwa kuweka nia zetu pamoja na fungu la kumi tunalomtolea Mungu.Paybill ya kanisa ni 4042525 account
- Tunawashukuru kwa dati wakristu wote ambao wamerudisha tetrapacks zao pamoja na mchango wao wa kampeni ya kwaresma.Wenyekiti wa Jumuiya zote wanaomba wahakikishe kwamba tetrapacks ambazo bado zimebaki zimerudishwa kwa meza ya CJPD pale nje baada ya misa hii kupitia kwa mweka hazina wa Jumuiya.
- The YOUNG CHRISTIAN WORKERS (YCW) ni kikundi cha mpito kati ya Jumuiya ya Vijana na Wanawake Wakatoliki na Jumuiya ya Wanaume Wakatoliki. Kikundi hiki kinawaalika waumini wote walio kati ya miaka 25-40 kujiunga na kikundi.
Usajili wa wanachama wapya utafanyika baada ya misa hii. Kwa habari zaidi kuhusu kikundi, kuna wawakilishi wa kikundi nje ya kanisa kukusaidia kwa maswali yote.
- Waunguzi kutoka Equity Afia wametembelea Parokia yetu leo kutoa huduma za afya kwa wakristu wote.Tunaombwa tupitie kwenye hema yao pale nje kwa ajili ya kupata huduma za afya ya mwili
- Usajili wa PMC unaendelea wazazi/walezi wanaombwa kusajili watoto wao walio kati ya miaka tatu na kumi na tatu (3-13yrs) kwa shilingi 100/= Kule kwa njengo la Sunday school.
Wazazi na walezi walio na watoto chini ya miaka tatu wanaobwa wasiwache watoto hawa peke yao kwa Sunday school.
- Usajili wa ubatizo wa watoto wachanga umeanza,wazazi wanaombwa kuandikisha watoto wao kupitia kwa Jumuiya.
- Vijana kutoka Cathedral Ngong wametembelea Vijana wetu leo.
Jumuiya service
1st Mass: St. Raphael 1st Mass: St. Rita
2nd Mass: Senior youth 2nd Mass: Tomothy
by Josephine Jeruto | May 30, 2023 | News
MATANGAZO – PENTECOST SUNDAY 28/5/2023
1.Wakristo ambao waliacha kupokea na hawako kwa ndoa na wangetaka kuanza kupokea Sakramenti Takatifu, wanaombwa kuona Padre kwa ofisi siku na masaa ya kazi au, wapinge simu kujadiliana na Padre siku ingine yeyote wanaweza kupatikana.
2.Jumamosi ijayo (3/6/2023) ikiwa ni Jumamosi ya kwanza ya mwezi, ni siku ya maombi(recollection) kuanzia saa tatu asubuhi (9.00am) hadi saa sita mchana (12:00 noon). Hakutakuwa Misa ya asubuhi kama ilivyo kawaida.
3.Alhamisi tarehe moja June (1st June) ambayo Wakenya watasherehekea Madaraka day, Misa itaanza saa tatu asubuhi (09.00am).
4.Jumapili ijayo tarehe nne June (4th June) vijana kutoka Ngong Cathedral Plan watatembelea kanisa yetu ili wawe na kikao maalum pamoja na vijana wetu. Vijana wote wanahimizwa kuhudhuria siku hiyo.
5.Kikundi cha Josil Ushindi (Singles Church Support) wanakubushwa mkutano wao baada ya hii Misa. Wakristo ambao ni single na wangetaka kujiunga na kikundi hiki wamekaribishwa.
6.Jumapili ijayo tarehe 4/6/2023 wahudumu kutoka hospitali ya Equity Afia, watatembelea kanisa letu kupeana vipimo tofauti tofauti kwa bei nafuu. Wakristo wanaombwa kuchukua fursa hii kujua hali ya afya yao.
7.Jumuiya service
1st Mass: St. Joseph the Worker 1st Mass: St. Raphael
2nd Mass: St. Padre Pio 2nd Mass: Senior Youth
8. Matangazo ya PFC
by Josephine Jeruto | May 30, 2023 | News
ANNOUNCEMENTS: PENTECOST SUNDAY 28/5/2023
- We have begun a registration for parishioners who would like to be readmitted into the Holy Sacrament of Eucharist. Those interest are requested to come and meet the Priest during office hours or make an appointment with him.
- This coming Saturday (3/06/2023), being the first Saturday of the month there will be a parish recollection from 9am. All parishioners are welcome. There will be no morning mass that day.
- Thursday 1st of June, will be a public holiday and Mass will be at 9am.
- Next Sunday 4th June, the senior youth from Ngong Cathedral Plan will visit our church for an exchange programme with our youths. All the youth of our church are encouraged to be present on that day.
- Josil Ushindi (Singles Church Support) Group will have a meeting today after second Mass at the balcony. New members are invited to join.
- Next Sunday 4th June, Equity Afya- Kitengela branch will be offering a free medical camp for our Parishioners – Christians are encouraged take advantage of this opportunity to do body checkups.
Jumuiya service
1st Mass: St. Joseph the Worker 1st Mass: St. Raphael
2nd Mass: St. Padre Pio 2nd Mass: Senior Youth
PFC announcements