ANNOUNCEMENTS: 33RD SUNDAY ORDINARY TIME
- Today CWA will be having a seminar after second Mass at the Sunday school building. All ladies are invited.
- Next Saturday being the last Saturday of the month, there will be a Recollection organized by Opus Dei, recollection for ladies will start at 9AM and men at 2PM. The Ladies’ Recollection will begin with
Confessions from 8AM.
- Next Sunday will be the last Sunday of the liturgical year, when we celebrate the Solemnity of Christ the King. The Church recommends that all Catholics to hold a Procession on this day. The weather conditions and other logistic challenges may not allow us to hold this Procession. However, we shall have one hour Adoration (Holy hour) immediately after the second Mass, Let’s come prepared for this important spiritual exercise in honour of Christ the King in our lives.
- 26/11/2023 After Mass, all our Priests will be away for one week to attend their Annual Retreat at Nakuru.Therefore there will be no Jumuiya and weekday Masses that week.
- 02/12/2023 will be diocesan Family Day at Ngong Diocese. The parish Chairman will organize our parade representation through our Jumuiyas and Church Groups.
- On 09/12/2023 our Parish will host the SMA Foundation Day. It will bring together Christians from parishes served by SMA Fathers in Kenya. All Parishioners are invited, thank you as you to plan to attend these important celebrations. Details of the Day’s programme will be shared in the coming Sundays.
MATANGAZO: JUMAPILI YA THELATHINI NA TATU KIPINDI CHA KAWAIDA
- Leo CWA watakuwa na semina baada ya Misa hii kule kwenye jengo la Sunday school. Kina mama wote wa parokia yetu wanaalikwa.
- Jumamosi ijayo ni Jumamosi ya mwisho ya mwezi, kutakuwa na recollection ya Opus Dei. Maombi ya wanawake itaanza saa tatu asubuhi na ya wanaume ni saa nane mchana.Sakramenti ya kitubio ni saa mbili kamili asubuhi. Sote tunaalikwa.
- Jumapili ijayo ni Jumapili ya mwisho ya mwaka wa liturujia tunapoadhimisha sherehe ya Kristo Mfalme, kanisa linapendekeza wanakatolili wote wafanye maandamano siku hio, Ila kwa sababu ya hali ya anga na changamoto nyinginezo, hatutakuwa na maandamano (procession). Badala yake tutakuwa na ibaada ya kuabudu sakramenti takatifu (Adoration) baada ya Misa ya pili.Tunaombwa tujiweke tayari kwa zoezi hili muhimu la kiroho kwa heshima ya Kristo Mfalme katika maisha yetu.
- Kuanzia Jumapili ijayo tarehe 26/11/2023 baada ya Misa, Mapadre wetu watasafiri kwenda Nakuru kwa retreat yao ya SMA Fathers.Hivyo basi hatutakuwa na Misa kuanzia Jumatatu hadi Jumamosi.
- Tarehe 02/12/2023 ni Family day ya Ngong Diocese kule Ngong. Mwenyekiti wa parokia atatoa muongozo jinsi tutakavyowakilisha parokia yetu kupitia kwa Jumuiya na vikundi vya kanisa.
- Tarehe 09/12/2023 ni SMA Foundation day ambayo itafanyika hapa parokiani.Siki hii, wakristo kutoka parokia zinazohudumiwa na SMA Fathers pamoja na seminarians,watajumuika hapa parokiani kwa Misa takatifu na sherehe maalum nchini .Maelezo Zaidi na programu ya siku hiyo yatatolewa baadaye.
Jumuiya service
Today Next Sunday
1st Mass: St. Mary 1st Mass: St. Mary
2nd Mass: St. Donbosco 2nd Mass: Our Lady of Fatima
And Sacred Heart Group