ANNOUNCEMENTS: 1ST SUNDAY OF ADVENT

ANNOUNCEMENTS: 1ST SUNDAY OF ADVENT

ANNOUNCEMENTS: 1ST SUNDAY OF ADVENT

We thank the good Lord for our work and businesses. On this First Sunday of the month, we invite those who have their Tithe, and those who paid directly to the Bank and Paybill, to come forward for prayers and blessings. The Church Paybill Number is 4042525 Account

  1. CJPD would like to inform all members that there will be the final training session today after the second Mass in the Sunday school building. All new and already commissioned members from all outstations are requested to attend.
  2. The senior youth (18 – 25 years) will be having an END YEAR PARTY on 16th December here at the church. Every youth is requested to pay a small fee of 500/= to cater for food and snacks. In regards to this, there will be a meeting immediately after the second Mass at the balcony for all the senior youth.
  3. We have started registration of infant baptism. Parents who would like their children to be baptized are requested to register through their jumuiyas.
  4. On Saturday 09/12/2023 our Parish will host the SMA Foundation Day. It will bring together Christians from parishes served by SMA Fathers in Kenya. All Parishioners are invited. Thank you as you to plan to attend these important celebrations.

 

Jumuiya service

Today                                                Next Sunday

1st Mass: St. Daniel Comboni                    1st Mass: St. Jude

2nd Mass: St. Joseph the Worker                2nd Mass: St. Catherine of Siena

MATANGAZO: JUMAPILI YA KWANZA YA MAAJILIO, MWAKA B

  1. Leo ni Jumapili ya fungu la kumi,kwa wakristo ambao wamejitayarisha na pia wale ambao wametuma fungu lao kwenye paybill ya kanisa tunawaalika wajongee mbele kwa maombi na Baraka.Tunapokuja mbele tunaombwa kuweka nia zetu pamoja na fungu la kumi tunalomtolea Mungu. Paybill ya kanisa ni 4042525 account
  2. CJPD wangependa kuwajulisha wakristo wote kwamba watakuwa na kikao cha mwisho cha mafunzo yao leo baada ya Misa hii kule kwenye jengo la Sunday school. Wanachama wote wapya na wale ambao wameidhinishwa wanaombwa kuhudhuria.
  3. Vijana wetu walio na umri wa miaka (18-25) watakuwa na END YEAR PARTY tarehe 16/12/2023 hapa kanisani. Hivyo basi vijana wote wanaombwa kujisajili kwa shilingi mia tano (500/=). Leo watakuwa na mkutano baada ya misa hii pale kwa balcony.Vijana wote wanaombwa wabaki nyuma baada ya Misa ili kuhudhuria mkutano huu.
  4. Usajili wa ubatizo wa watoto wachanga umeanza.Wazazi wote ambao wangependa watoto wao wachanga wabatizwe wanaombwa kujisajili kupitia kwa jumuia zao.
  5. Jumamosi ijayo tarehe 09/12/2023 ni SMA Foundation day ambayo itafanyika hapa parokiani.Siki hii, wakristo kutoka parokia zinazohudumiwa na SMA Fathers pamoja na seminarians,watajumuika hapa parokiani kwa Misa takatifu na sherehe maalum nchini.

Jumuiya service

Today                                                Next Sunday

1st Mass: St. Daniel Comboni                    1st Mass: St. Jude

2nd Mass: St. Joseph the Worker                2nd Mass: St. Catherine of Siena

 

 

 

 

 

CJPD HIGHLIGHTS FROM AFRICA CLIMATE SUMMIT

Good afternoon Leaders, as a follow up to the brief highlight given by CJPD representatives during Mass today, kindly share the attached write up with your respective Jumuias and church groups.

We urge you to spare a few minutes in your next meeting to come up with more suggestions that we can implement as a community to reverse the negative effects of climate change.

Have a blessed week ahead 🙏🏼

Simiyu – CJPD Chair

 

 

 

 

 

 

ANNOUNCEMENT :24TH SUNDAY ORDINARY TIME

ANNOUNCEMENT :24TH SUNDAY ORDINARY TIME

ANNOUNCEMENTS:24th SUNDAY ORDINARY TIME

  1. Next Saturday, our Bishop, priests and Christians will converge in our Parish for the Deanery Luncheon. Mass begins at 10.30. We invite parishioners to attend Mass. Those who picked the cards are requested to kindly send their payments through the Church Paybill 4042525 Account Luncheon or at the Parish Office.
  2. John and Sylvia Education group will meet at the Balcony today immediately after second Mass.
  3. From next Sunday, the Priests and Deacon will be available for Holy Mass or Communion Service for our children. The Mass/Communion Service will begin at 9am, at the same time as the Second Mass. Parents and guardians are requested to cooperate.
  4. The CJPD has organized trainings that will be conducted for the next two months for new members. These will also serve as a refresher for existing members from Sunday, 24th Sept after second Mass at the Sunday school hall. All members are invited to attend.
  5. Our Parish was represented by CJPD on the Africa Climate Summit that took place from 4th to 6th Sep. We invite one of them to share with us the message from this Summit.

 

Jumuiya service

Today:                                                           Next Sunday

1st Mass: St. Claire                                  1st Mass: St. Padre Pio

2nd Mass: St. Raphael                               2ndMass: Josil ushindi group

MATANGAZO: JUMAPILI YA ISHIRINI NA NNE KIPINDI CHA KAWAIDA

Jumamosi ijayo, Askofu wetu, mapadre na wakristo watajumuika katika Parokia yetu kwa Deanery luncheon. Misa takatifu itaanza saa 10.30am asubuhi. Wanaparokia wote wamealikwa  kuhudhuria Misa hii. Wakristo ambao walichukua kadi wanaombwa kutuma malipo Yao kupitia kwa Paybill ya kanisa 4042525 Account Luncheon au kwa Ofisi ya Parokia.

Kamati ya elimu ya parokia yetu watakuwa na mkutano leo baada ya Misa hii kwa balcony.

Kuanzia Jumapili ijayo, Mapadre na Shemasi watasherekea Misa Takatifu au Ibada  ya Komunyo kwa watoto wetu wa Sunday school. Ibada ya Misa/Komunyo itaanza saa tatu asubuhi .Ushirikiano wenu Wazazi na walezi unanaombwa. Mwenyekiti wa parokia yetu atakutana na wenyekiti wote wa jumuiya Jumapili Ijayo tarehe 24/9/2023 kwa Balcony baada ya Misa ya pili. CJPD wameandaa mafunzo ambayo yatafinyika kwa muda wa miezi miwili ijayo kwa wanakamishnna wa CJPD. Mafunzo haya pia yatatatumika kama refresher kwa wanachama wakitambo kuanzia Jumapili ijayo, tarehe 24 Septemba 2023. Wanachama wote wamealikwa kuhudhuria Parokia yetu iliwakilishwa na CJPD kwenye Mkutano wa the Africa Climate Summit ambao ulifanyika kuanzia tarehe 4 hadi 6 Septemba.Tunamkaribisha mmoja wao ili atoe ujumbe mfupi kuhusu Mkutano huo.

 

Jumuiya service

Today:                                                           Next Sunday

1st Mass: St. Claire                                  1st Mass: St. Padre Pio

2nd Mass: St. Raphael                               2ndMass: Josil ushindi group

 

 

 

 

 

 

YOUTH TALK

YOUTH TALK

Join us for the highly anticipated Youth Talk on July 23rd, 2023, hosted by the Catholic Justice and Peace Department at St. John and Sylvia, Acacia Parish, from 12:00 PM to 3:30 PM. Brace yourself for an exciting surprise as our passionate speakers unveil the discussion of the day. This event promises to be interactive and conducive to networking, empowering young minds to be agents of positive change. After an enlightening session, we invite the youth to enjoy a snack and connect with peers, fostering camaraderie and solidarity. Don’t miss this opportunity to be a part of shaping a brighter future. See you there!

Matangazo ya 4/06/2023

MATANGAZO: 04/06/2023

  1. Leo ni Jumapili ya fungu la kumi,kwa wakristo ambao wamejitayarisha na pia wale ambao wametuma fungu lao kwa paybill ya kanisa na pia wakristu ambao wamelipa ahadi zao mwezi huu tunawaalika wajongee mbele kwa maombi na Baraka.Tunapokuja mbele tunaombwa kuweka nia zetu pamoja na fungu la kumi tunalomtolea Mungu.Paybill ya kanisa ni 4042525 account
  2. Tunawashukuru kwa dati wakristu wote ambao wamerudisha tetrapacks zao pamoja na mchango wao wa kampeni ya kwaresma.Wenyekiti wa Jumuiya zote wanaomba wahakikishe kwamba tetrapacks ambazo bado zimebaki zimerudishwa kwa meza ya CJPD pale nje baada ya misa hii kupitia kwa mweka hazina wa Jumuiya.
  3. The YOUNG CHRISTIAN WORKERS (YCW) ni kikundi cha mpito kati ya Jumuiya ya Vijana na Wanawake Wakatoliki na Jumuiya ya Wanaume Wakatoliki. Kikundi hiki kinawaalika waumini wote walio kati ya miaka 25-40 kujiunga na kikundi.

Usajili wa wanachama wapya utafanyika baada ya misa hii. Kwa habari zaidi kuhusu kikundi, kuna wawakilishi wa kikundi nje ya kanisa kukusaidia kwa maswali yote.

  1. Waunguzi kutoka Equity Afia wametembelea Parokia yetu leo kutoa huduma za afya kwa wakristu wote.Tunaombwa tupitie kwenye hema yao pale nje kwa ajili ya kupata huduma za afya ya mwili
  2. Usajili wa PMC unaendelea wazazi/walezi wanaombwa kusajili watoto wao walio kati ya miaka tatu na kumi na tatu (3-13yrs) kwa shilingi 100/= Kule kwa njengo la Sunday school.

Wazazi na walezi walio na watoto chini ya miaka tatu wanaobwa wasiwache watoto hawa peke yao kwa Sunday school.

  1. Usajili wa ubatizo wa watoto wachanga umeanza,wazazi wanaombwa kuandikisha watoto wao kupitia kwa Jumuiya.
  2. Vijana kutoka Cathedral Ngong wametembelea Vijana wetu leo.

 

Jumuiya service

1st Mass: St. Raphael                        1st Mass: St. Rita

2nd Mass: Senior youth                    2nd Mass: Tomothy