by Josephine Jeruto | Jun 14, 2023 | News
MATANGAZO: JUMAPILI KUU YA MWILI NA DAMU YA YESU KRISTO – 11/06/ 2023
- Leo ni Jumapili ya fungu la kumi,kwa wakristo ambao wamejitayarisha na pia wale ambao wametuma fungu lao la kumi kwa paybill ya kanisa tunawaalika wajongee mbele kwa maombi na baraka.Tunapokuja mbele tunaombwa kuweka nia zetu pamoja na fungu la kumi tunalomtolea Mungu.Paybill ya kanisa ni 4042525 account Tithe.
- Leo, Kanisa linasherehekea Siku Kuu ya Mwili na Damu ya Kristo (Corpus Christi). Punde tu baada ya Misa hii, kutakuwa na ibada ya kumwabudu Bwana wetu Yesu Kristu, aliye hai katika Sakramenti Takatifu ya Ekaristi.
- Wakristo ambao waliacha kupokea na hawako kwa ndoa na wangependa kurudi kupokea Sakramenti Takatifu, wanaombwa kuona Padre kwa ofisi siku na masaa ya kazi au, wapige simu kujadiliana na Padre siku ingine yeyote wanaweza kupatikana.
- Josil Ushindi group watakuwa na siku ya maombi Jumamosi ijayo tarehe 17/06/2023 kuanzia saa tatu asubuhi.
- Kikundi cha kina Baba (CMA) wanaalikwa kwa mafundisho yao Jumapili ijaya ya tarehe 18th June 2023 baada ya Misa ya kwanza
- Padre kutoka Lodwar atatembelea Parokia yetu Jumapili ijayo tarehe 18th Juni 2023. Kupongeza Wakristo kwa ukarimu ambao tumeonyesha familia ya Lodwar na pia kuomba msaada ili aweze kuendelea kuhudumia wakristo wa Lodwar. Wakristo wanakaribishwa kuchukua bahasha ambazo tutamkabidhi mgeni wetu Jumapili ijayo.
- Tumeanza usajili wa Watoto wachanga kwa ajili ya ubatizo. Wazazi wanaopenda Watoto wao wachanga wabatizwe wanaombwa kujiandikisha katika Jumuiya zao.
Jumuiya service
Jumapili Hii Jumapili Ijayo
1st Mass: St. Rita 1st Mass: St. Gabriel
2nd Mass: St. Timothy 2nd Mass: CWA
by Josephine Jeruto | Jun 8, 2023 | News
- We thank the good Lord for our work and business. On this First Sunday of the month, we invite those who have their Tithe, and those who paid directly to the Bank and Pay bill, we also invite parishioners who have redeemed their pledges this month to come forward for prayers and blessings. The Church Pay bill Number is 4042525 Account tithe
- We would like to thank our Jumuiya members and Parishioners who have already returned their tetra packs with their Lenten Campaign contributions. We urge all the Jumuiya Chairpersons to ensure that the remaining tetra packs are submitted through their respective Jumuiya treasurers to the CJPD desk after Mass. Those who did not get tetra packs can still make their contributions through our Church Pay bill 4042525, Account No: “LENTEN”
- The YOUNG CHRISTIAN WORKERS (YCW) is a transitional group between the Youth and Catholic Women Association and the Catholic Men Association. The devotional group cordially invites all parishioners of age 25-40 to join the group. Renewal and registration of new members will be taking place after mass. For more information regarding the group, there are representatives of the group outside the church to assist you with all enquiries.
- Doctors from Equity Afia Kitengela Branch have visited our parish today to offer free medical camp, we are encouraged to pass by their tent for body check-ups and medical advice.
- The PMC registration is ongoing, all the parishioners are requested to register all children ages 3yrs to 13yrs. Registration fee is 100/= per child. Registration is ongoing outside the PMC classes Note: Parishioners with children below 3yrs are requested NOT to leave the children in PMC class unattended.
- Infant baptism registration is ongoing and parents are requested to register through their Jumuiyas.
- Senior youth from Cathedral Ngong have visited our youths today
Jumuiya service
1st Mass: St. Raphael 1st Mass: St. Rita
2nd Mass: Senior youth 2nd Mass: Timothy
by Josephine Jeruto | Jun 8, 2023 | News
MATANGAZO: 04/06/2023
- Leo ni Jumapili ya fungu la kumi,kwa wakristo ambao wamejitayarisha na pia wale ambao wametuma fungu lao kwa paybill ya kanisa na pia wakristu ambao wamelipa ahadi zao mwezi huu tunawaalika wajongee mbele kwa maombi na Baraka.Tunapokuja mbele tunaombwa kuweka nia zetu pamoja na fungu la kumi tunalomtolea Mungu.Paybill ya kanisa ni 4042525 account
- Tunawashukuru kwa dati wakristu wote ambao wamerudisha tetrapacks zao pamoja na mchango wao wa kampeni ya kwaresma.Wenyekiti wa Jumuiya zote wanaomba wahakikishe kwamba tetrapacks ambazo bado zimebaki zimerudishwa kwa meza ya CJPD pale nje baada ya misa hii kupitia kwa mweka hazina wa Jumuiya.
- The YOUNG CHRISTIAN WORKERS (YCW) ni kikundi cha mpito kati ya Jumuiya ya Vijana na Wanawake Wakatoliki na Jumuiya ya Wanaume Wakatoliki. Kikundi hiki kinawaalika waumini wote walio kati ya miaka 25-40 kujiunga na kikundi.
Usajili wa wanachama wapya utafanyika baada ya misa hii. Kwa habari zaidi kuhusu kikundi, kuna wawakilishi wa kikundi nje ya kanisa kukusaidia kwa maswali yote.
- Waunguzi kutoka Equity Afia wametembelea Parokia yetu leo kutoa huduma za afya kwa wakristu wote.Tunaombwa tupitie kwenye hema yao pale nje kwa ajili ya kupata huduma za afya ya mwili
- Usajili wa PMC unaendelea wazazi/walezi wanaombwa kusajili watoto wao walio kati ya miaka tatu na kumi na tatu (3-13yrs) kwa shilingi 100/= Kule kwa njengo la Sunday school.
Wazazi na walezi walio na watoto chini ya miaka tatu wanaobwa wasiwache watoto hawa peke yao kwa Sunday school.
- Usajili wa ubatizo wa watoto wachanga umeanza,wazazi wanaombwa kuandikisha watoto wao kupitia kwa Jumuiya.
- Vijana kutoka Cathedral Ngong wametembelea Vijana wetu leo.
Jumuiya service
1st Mass: St. Raphael 1st Mass: St. Rita
2nd Mass: Senior youth 2nd Mass: Tomothy
by Josephine Jeruto | Jun 1, 2023
Christ the Kingdom come! The monthly parish recollection day is scheduled to take place on the 3rd of June, from 9:00 am to 2:00 pm, at the St. John and Sylvia Church in Acacia. The event’s theme is based on Psalm 119:105, emphasizing the importance of divine guidance in our lives. This day of spiritual reflection and renewal is open to all Christians, who are warmly welcomed to participate.
During the recollection day, a series of activities have been planned to foster a deepening of faith and communion with God. The day will commence with the recitation of the Rosary, a powerful prayer that invites participants to meditate on the life of Jesus and seek the intercession of the Blessed Virgin Mary. Following this, there will be moments of reflection and adoration, allowing individuals to contemplate God’s word and experience His presence in a serene atmosphere.
Furthermore, the Sacrament of Confession will be available, offering an opportunity for spiritual healing and the forgiveness of sins. This sacrament enables individuals to reconcile with God and receive His grace. The day will culminate with a Holy Mass, a central act of worship in the Christian tradition. Through the celebration of the Eucharist, participants will unite in prayer and receive the body and blood of Christ, strengthening their spiritual bond with Him.
The monthly parish recollection day at St. John and Sylvia Church on the 3rd of June promises to be a spiritually enriching experience for all participants. With its theme centered around Psalm 119:105, the day will focus on the guidance and illumination that God’s word provides in our lives. Through the various activities such as the Rosary, reflection, adoration, confession, and Holy Mass, attendees will have the opportunity to deepen their faith, seek God’s forgiveness, and renew their commitment to living as Disciples of Christ. Christians from all walks of life are cordially invited to join this day of prayer, reflection, and fellowship as they continue their spiritual journey.